Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenya: Hatma Unaibu Rais wa Gachagua kujulikana leo

FR Rigathi Gachagua.jpeg Kenya: Hatma Unaibu Rais wa Gachagua kujulikana leo

Tue, 1 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muswada wa kumuondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani utawasilishwa Bungeni leo, Oktoba 1, 2024, Saa 8:30 Mchana. Ikiwa Muswada huo utapitishwa, Spika wa Bunge, Moses Wetangula atawasilisha uamuzi huo kwa Spika wa Seneti Amason Kingi kwa hatua zaidi - Gachagua anadaiwa kutokuwa na uhusiano mzuri na Rais William Ruto, huku akikabiliwa na tuhuma nzito za ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi, kufadhili fujo za Gen Z katika #Maandamano, kutoa siri za Serikali na Kuchochea Ukabila - Gachagua ametoa onyo kwa Rais Ruto, akisema kwamba kama Washirika wake wataendelea na hoja ya kumwondoa, Ruto anaweza kupoteza uungwaji mkono wa eneo la Mlima Kenya. Amehimiza uongozi wa Ruto kutulia na kuruhusu Serikali kutekeleza majukumu yake kwa wananchi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live