Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanali aliyempindua Rais Conde, atoa msimamo mwingine

4445 660x400 Kanali aliyempindua Rais Conde, atoa msimamo mwingine

Tue, 21 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Kikosi cha Jeshi kilichotangaza kuipindua Serikali ya nchi hiyo na kumkamata Rais Alpha Conde wamegomea Shinikizo la Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) ya kwamba Uitishwe Uchaguzi Mkuu baada ya miezi tangu yalipotokea mapinduzi.

Kikosi cha Jeshi kilichotangaza kuipindua Serikali ya nchi hiyo na kumkamata Rais Alpha Conde wamegomea Shinikizo la Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) ya kwamba Uitishwe Uchaguzi Mkuu baada ya miezi tangu yalipotokea mapinduzi. Hatua hiyo inakuja ikiwa si siku chache tangu wajumbe wa ECOWAS akiwemo Rais wa Ghana na Ivory Coast juhudi zao za kutaka kuondoka na Rais Conde kugonga mwamba

Chanzo: millardayo.com