Kutokea nchini Guinea moja kati ya taarifa iliyowagusa wengi ni juu ya tetesi ya kwamba Kamanda aliyeongoza Mapinduzi ya Kumuondoa Rais wa nchi hiyo, Alpha Conde na kuipindua Serikali, Mamady Doumbouya anautaka Urais wa nchi hiyo.Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.