Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kaka yake Mackenzie: 'Sikuwahi kuona jambo lolote baya kwake'

Kaka Yake Mackenzie: 'Sikuwahi Kuona Jambo Lolote Baya Kwake' Kaka yake Mackenzie: 'Sikuwahi kuona jambo lolote baya kwake'

Wed, 17 May 2023 Chanzo: Bbc

Kaka yake na Mchungaji wa kanisa lenye utata nchini Kenya Paul Mackenzie anasema kwamba kaka yake alikuwa "mtu mwema" na mfano kwa jamii yake labda kama alibadilika baadaye.

Kaka yake na Mchungaji wa kanisa lenye utata nchini Kenya Paul Mackenzie anasema kwamba kaka yake alikuwa "mtu mwema" na mfano kwa jamii yake labda kama alibadilika baadaye. Paul Mackenzie anadaiwa kuwahimiza wafuasi wake kufa njaa. Zaidi ya miili 200 kufikia sasa imetolewa katika msitu wa Shakaholanchini Kenya huku wengine zaidi ya 600 wanaoripotiwa kuwa washiriki wa ibada ya siku ya mwisho bado hawajulikani walipo.

Chanzo: Bbc