Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kagame aingia Burundi kwa mara ya kwanza tangu 2008

Paul Kagame Of Rwanda Rais wa Rwanda Paul Kagame

Sat, 4 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Rwanda Paul Kagame amewasili Mjini Bujumbura, Burundi kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) ulioitishwa na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuia hiyo.

Rais wa Rwanda Paul Kagame amewasili Mjini Bujumbura, Burundi kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) ulioitishwa na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuia hiyo. Rais Kagame anakanyaga Ardhi ya Burundi kwa mara ya kwanza tangu 2008. Mkutano huo utaangazia masuala ya usalama wa kikanda hususani mashariki mwa DRC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live