Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kagame: Tutaanzisha Kodi Makanisani kudhibiti Utapeli

'Nitagombea Muhula Wa Nne Mwaka 2024'   Kagame Rais wa Rwanda, Paul Kagame

Sat, 24 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema ongezeko la Makanisa ambayo mengi kati yake yamekuwa yakichukua Fedha za Waumini na kuwatajirisha Viongozi wa Madhehebu, utailazimu Serikali kuanzisha Kodi ya Makusanyo ya Kanisa.

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema ongezeko la Makanisa ambayo mengi kati yake yamekuwa yakichukua Fedha za Waumini na kuwatajirisha Viongozi wa Madhehebu, utailazimu Serikali kuanzisha Kodi ya Makusanyo ya Kanisa. Kiongozi huyo amesema Makanisa hayo yanayoibuka yamekuwa yakifanya alichokiita unyang’anyi wa hadi Senti za mwisho za Watu Masikini na hivyo kunahitajika udhibiti wa hali hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live