Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kaa Kwako: Kafyu kuendelea hadi Mei, Waziri Matiang'i asema

E6923deb82131bc4 Kaa Kwako: Kafyu kuendelea hadi Mei, Waziri Matiang'i asema

Wed, 14 Apr 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Wakazi wa kaunti tano zilizofungwa na Rais Uhuru Kenyatta kwa kuwa na idadi kubwa ya maambukizi ya coronavirus watasalia na kafyu hadi mwisho wa Mei.

Waziri Fred Matiang'i alisema kafyu ya kutotoka nje ya kaunti hizo tano za Nakuru, Nairobi, Kiambu, Kijiado na Machakos itasalia.

Wakati wa kuweka kafyu hiyo, Rais alitangaza wakazi wawe wakifika nyumbani kabla ya saa mbili usiku na kulala hadi saa kumi na moja asubuhi.

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke