Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KENYA: Chaguzi zilizoahirishwa Agosti 9 kufanyika leo

Kuraaa.png Chaguzi zilizoahirishwa Agosti 9 kufanyika leo

Mon, 29 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Upigaji kura katika uchaguzi mdogo umeanza baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kusitisha zoezi hilo Agosti 9 kufuatia mkanganyiko wa vifaa vya kupigia kura

Uchaguzi wa Ugavana unaendelea Mombasa na Kakamega, wa Wabunge katika Majimbo ya Kitui Vijijini, Kacheliba, Pokot Kusini na Rongai na wa Wawakilishi wa Kaunti unaendelea katika kaunti za Embakasi Kusini na Nyaki Magharibi

Hata hivyo licha ya Serikali kutangaza leo Kuwa siku ya Mapumziko ili kurahisisha zoezi hilo, idadi ya waliojitokeza inatajwa kuwa ni ndogo kulinganisha na waliojiandikisha

Chanzo: www.tanzaniaweb.live