Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jinsi wasambaza habari 'feki' wanavyopiga pesa nchini Kenya

Fake Fake Fake Hivi ndivyo jinsi wasambaza habari 'feki' wanavyopiga pesa nchini Kenya

Mon, 13 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inaelezwa kuwa usamabazaji wa taarifa feki umegeuka kuwa biashra inayowaingizia watu fedha nchini kenya.

Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa katika ya wezi Mei hadi Juni 2021 na shirika lisilo la kiserikali la Mozzilla Foundation zinaonesha kuwa kuna wafadhali vivuli wanaowalipa wasambazaji wa taarifa feki katika mitandao ya kijamii hususiana ni Twittetr.

Kundi hilo linalofahamika kama Wakenya kwenye Twitter(#KoT), linatajwa kufaidika kwa malipo kati ya dola 10 hadi 15 sawa na shilingi elfu 23,190 hadi elfu 34,785 za kitanzaniakwa kila machapisho matatu wanayofanya katika siku.

Wapo wanaolipwa hadi dola 250 kwa mwezi sawa na shilingi laki 579,750 za kitanzania, malipo hayo yanatajwa kufanywa kwa njia ya miamala ya simu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live