Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jihadhari na Sprite 'yenye uchafu', yasema Nigeria

Jihadhari Na Sprite 'yenye Uchafu', Yasema Nigeria Jihadhari na Sprite 'yenye uchafu', yasema Nigeria

Fri, 30 Jun 2023 Chanzo: Bbc

Raia wa Nigeria wanaonywa kuwa baadhi ya chupa za Sprite ni chafu.

"Chembe chembe" zimepatikana katika kreti tano za kinywaji hicho katika maduka na kituo cha uzalishaji, kwa mujibu wa Shirika la Kitaifa la Kudhibiti Chakula na Dawa.

Haijulikani ni chembe gani hizo, lakini mamlaka inasema ni chupa ya Sprite yenye ukubwa wa 50cl haswa ambayo imeathirika.

Wateja wengine mtandaoni wanasema tangazo hilo halieleweki sana na wanadai maelezo zaidi.

Chanzo: Bbc