Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jeshi la Somalia lashiriki mazoezi ya kijeshi nje ya nchi kwa mara ya kwanza

Jeshi La Somalia Lashiriki Mazoezi Ya Kijeshi Nje Ya Nchi Kwa Mara Ya Kwanza Jeshi la Somalia lashiriki mazoezi ya kijeshi nje ya nchi kwa mara ya kwanza

Sun, 25 Feb 2024 Chanzo: Bbc

Makumi ya wanajeshi wa Somalia wamewasili nchini Kenya kwa mazoezi ya kijeshi yatakayoshirikisha nchi kadhaa za Afrika.

Makomando waliopewa mafunzo maalum ya Danab wa Somalia watakuwa wa kwanza kushiriki katika mazoezi ya kijeshi nje ya nchi hiyo tangu kuangushwa kwa serikali ya Mohamed Siad Barre mwaka 1991.

Kamanda wa jeshi la Somalia, Jenerali Ibrahim Sheikh Muhyiddin, amelitaka jeshi la Somalia linaloshiriki mazoezi hayo kuonyesha vipaji miongoni mwa mamia ya wanajeshi wanaoshiriki zoezi hilo, na kuleta sifa kwa taifa la Somalia.

Chanzo: Bbc