Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jengo laporomoka laua mmoja na kujeruhi 47

E7818dae 900f 43c8 9c9b 509edfdd6d3a 5efc8d5a Jengo laporomoka laua mmoja na kujeruhi 47

Tue, 7 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwili wa mwanamume mmoja ulitolewa kwenye kifusi nchini Afrika Kusini katika Jengo linaloendelea kujengwa ambalo liliporomoka Jumatatu hii, Mei 6 mchana, huko George Kusini mwa nchi hiyo.

Polisi wamesema kuwa Wafanyakazi 47 bado wamekwama kwenye kifusi, shughuli za uokozi zikiendelea na kuongeza kuwa uchunguzi umefunguliwa kuhusu tukio hilo.

Kwenye video za kamera za uchunguzi, Jengo la ghorofa nne lilionekana likiporomoka kwa sekunde, na kuacha uwanja wa vifusi tu.

Operesheni imefanyika usiku kucha, ikiwa ni pamoja kutumia mbwa wa kunusa kwa ajili ya kuwaokoa watu walionasa kwenye kifusi.

Hadi kufikia sasa haijajulikana sababu ya kuporomoka kwa Jengo hilo ambalo lilikuwa linajengwa kwa ajili ya makazi ya watu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live