Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jenerali aliepanga njama za Mugabe kuondolewa madarakani afariki

Screen Shot 2020 07 29 At 5.04.01 AM 660x400.png Jenerali aliepanga njama za Mugabe kuondolewa madarakani afariki

Wed, 29 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa kilimo wa Zimbabwe Perrance Shiri, amefariki Dunia asubuhi ya leo akiwa hospitali anapatiwa matibabu, Rais Emmerson Mnangagwa amethibitisha leo asubuhi.

“Shiri alikuwa mzalendo wa kweli, aliyejitolea maisha yake kwa ukombozi, uhuru na huduma ya nchi yake,” ameongea Rais wa Zimbabwe Mnangagwa katika taarifa yake japo hakusema chanzo cha kifo.

Shiri alikuwa Jenerali mstaafu ambaye alisaidia kupanga njama ya kufukuzwa kwa Robert Mugabe katika mapinduzi ya 2017.

Chanzo: millardayo.com