Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jenerali Ogolla azikwa na sanda tu bila jeneza

Ogolla (31).jpeg Jenerali Ogolla azikwa na sanda tu bila jeneza

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Mkuu wa Majeshi nchini Kenya Jenerali Francis Ogolla amezikwa leo nyumbani kwao katika kijiji cha Ng’iya, Siaya.

Jenerali Ogolla ambaye alikuwa Muumini wa dini ya Kikristo, amezikwa na Sanda tu, bila Jeneza wala nguo jambo ambalo aliliomba mwenyewe wakati wa uhai wake.

Jenerali Ogolla alifariki tarehe 18 mwezi huu kwa ajali ya helikopta ambayo ilichukua maisha ya maafisa wengi 9 wa jeshi la Kenya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live