Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Japan kufadhili vita dhidi ya ugaidi Msumbiji

Japan Kufadhili Vita Dhidi Ya Ugaidi Msumbiji Japan kufadhili vita dhidi ya ugaidi Msumbiji

Fri, 5 May 2023 Chanzo: Bbc

Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida anasema nchi yake iko tayari kusaidia Msumbiji katika vita dhidi ya ugaidi.

Waziri Mkuu wa Japan anazuru Msumbiji kama sehemu ya ziara yake ya siku sita iliyompeleka katika nchi nyingine tatu za Afrika - Ghana, Kenya na Misri.

Alisema Japan ina nia ya kufadhili mapambano dhidi ya ugaidi kaskazini mwa jimbo la Cabo Delgado, jambo ambalo litaruhusu makampuni ya Japan ambayo ni sehemu ya miungano inayonyonya gesi asilia katika bonde la Rovuma, kufanya kazi katika mazingira salama.

Mkoa wa kaskazini umezingirwa na waasi wa Kiislamu kwa miaka mingi. Bw Kishida na Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi walizungumza kuhusu hitaji la uwekezaji wa binafsi wa Japan katika "maeneo ya kimuundo" ya uchumi, kwa lengo la kupata matokeo madhubuti katika ushirikiano wa pande mbili. Bw Nyusi aliwataka Wajapani hao kutafuta fursa za uwekezaji katika usafiri, kilimo, viwanda na uta

Chanzo: Bbc