Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jamaa apambana na simba dume bila silaha na kumuua

Simba Kauawa Jamaa aliyepambana na Simba

Sat, 9 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja katika Wilaya ya Kagadi, Magharibi mwa Uganda ameingia kwenye rekodi ya aina yake baada ya kupambana vikali na simba dume na kufanikiwa kumuua bila silaha yotoye huku naye akijeruhiwa vibaya.

Imeelezwa kuwa, jamaa huyo alimuoma simba huyo mwenye njaa kali katika maeneo ya nyumba yake akiwinda ndipo akaamua kuchukua jukumu la kumkabili kabla hajasababisha madhara katika familia yake na jamii yake.

"Amepambana naye bila silaha yoyote, ametmia mikono yake mpaka kuhakikisha anamuua simba huyo. Tumemchuna na tutamla nyama," amesema mmoja wa majirani walioshuhudia tukio hilo la aina yake.

Baada ya kumuua simba huyo, maafisa wa mamlaka ya wanyama pori walifika eneo la tukio kuthibitisha tukio hilo huku majeruhi akikimbizwa hospitali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live