Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jakaya Kikwete akutana na Rais wa Kenya Ruto

Jakaya Kikwete Akutana Na Rais Wa Kenya Ruto Jakaya Kikwete akutana na Rais wa Kenya Ruto

Mon, 20 Nov 2023 Chanzo: Mwananchi

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumatatu Novemba 19, 2023 Ikulu jijini Nairobi, Kenya.

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumatatu Novemba 19, 2023 Ikulu jijini Nairobi, Kenya. Kikwete ambaye ni mlezi wa Jukwaa la Vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (YouLead Summit) pamoja na mambo mengine, alifika Ikulu ya Nairobi kumjulisha Rais Ruto juu ya masuala mbalimbali ya Mkutano wa Jukwaa hilo unaotarajiwa kuanza kesho jijini Nairobi.

Chanzo: Mwananchi