Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Idadi ya waliofariki kutokana na kimbunga Freddy yapita 500

Kimbunga Freddy: Malawi Yatangaza Siku 14 Za Maombolezo Idadi ya waliofariki kutokana na kimbunga Freddy yapita 500

Mon, 20 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Idadi ya waliofariki kutokana na Kimbunga #Freddy kilichodumu kwa takriban mwezi mmoja, imeongezeka hadi 522, kulingana na mamlaka nchini Malawi, Msumbiji na Madagascar.

Shirika la hali ya hewa Duniani( WMO) linasema kuna uwezekano kuwa CycloneFreddy, kilichoanza Mwezi Februari, 2023 na kusababisha maelfu ya watu kubaki bila makazi, ndicho kirefu zaidi kuwahi kurekodiwa katika historia.

Inaelezwa kuwa idadi ya vifo katika Nchi za Malawi na Mozambique inatarajiwa kuendelea kuongezeka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live