Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Idadi ya wabonjwa wapywa wa COVID-19 Kenya

KENYAAA.jfif Covid-19 Kenya

Tue, 7 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nchini Kenya mpaka Septemba 6, imepata na ongezeko la visa vipya 258 vya covid-19 imepelekea kufikisha idadi vya wagonjwa kufika 240,430. Idadi ya waliopima covid-19 kufika 2,414,857 amesema Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Mutahi Kagwe.

Huku idadi ya vifo vilivyotokana na Covid-19 nchini humo kufika 4,795. wakati wagonjwa wengine 1,825 wamepokelewa hospitali mbalimbali na wengine 4,546 wakipatiwa matibabu wakiwa nyumbani.

Idadi ya wagonjwa walioko mahututi ikiwa imefika 150 kati yao 87 wanatumia mashine ya ventilatory kuweza kupumua. Wagonjwa wengine 752 wanatumia oxygen kati yao 691 wako ward za kawaida huku 61 wakiwa kwenye ward ya uwangalizi maalum.

Hata hivyo, wagonjwa 923 wanaendelea vizuri kati 861 walikuwa wakitibiwa nyumbani huku 62 wameruhusiwa kutoka hospitali.



Waliopona sasa kenya wamefika 229,006.

Katibu Mkuu wa Afya amesema idadi ya waliopata chanjo hadi Septemba 5 ni 2,870,392. huku dozi ya kwanza walichanja watu 2,057,080. dozi ya pili watu 813,312.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live