Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

IMF kutoa billioni 650 kupambana na COVID-19

D021 New Rt Mkurugenzi wa shirika la fedha duniani (IMF), kristalina Georgieva

Tue, 24 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Kristalina Georgieva, amesema watatoa kiasi cha dola bilioni 650 kwa wanachama wake kupitia mpango mpya maalumu utakaosaidia juhudi za ulimwengu za kupambana na janga la Covid-19.

IMF pia itatoa fedha za ziada kwa ajili ya uchumi wa dunia, kuongeza fedha za kigeni za nchi wanachama na kupunguza utegemezi wao katika gharama kubwa za madeni ya ndani au nje.

Hata hivyo, IMF wamendelea kutoa misaada pamoja na mikopo yaki fedha kwa nchi nyingi zenye uhitaji hasa bara la africa ikiwa ni njiaa moja wapo yakusaidia nchi hizo kukuwa kwenye swala zima la maendeleo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live