Wed, 8 Jun 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Kumekuwa na hali ya sintofahamu mjini Mombasa nchini Kenya baada ya msimamizi wa uchaguzi Swalhah Yusuf kusema kuwa, hajapokea mawasiliano rasmi kutoka kwa Mahakama ya Juu ili aweze kumuidhinisha mwaniaji wa kiti cha ugavana wa Chama cha Wiper Mike Sonko.
Alisema tume hiyo haikujua kuwa Bw Sonko ana kesi katika Mahakama ya Juu na inahitaji mawasiliano sawa ili kumuidhinisha.
Mawakili wa Bw Sonko wanaongoza timu ya kutetea kesi hiyo ili kushinikiza tume kumuidhinisha.
Tume ya IEBC leo imekuwa ikidhinisha wagombeaji viti mbalimbali vya uchaguzi kuwawezesha kuwania
Chanzo: www.tanzaniaweb.live