Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu Ndo Hacker Number Moja Duniani, Amedukua Benk 217 Marekani

Hacker123 Huyu Ndo Hacker Number Moja Duniani, Amedukua Benk 217 Marekani

Tue, 8 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Raia wa Algeria Hamza Bendelladj maarufu Mdukuzi mwenye tabasamu, alidukua Bank 217 Marekani na Ulaya na kutengeneza USD Milion 280 kisha alizitumia fedha hizo kutoa misaada kwa Wapalestina.

Amezaliwa mwaka 1988 na alitafutwa kwa miaka mitano, akiwa kwenye Top 10 ya Wadukuzi (hackers) waliosakwa na Interpol na FBI, kirusi alichokutumia kilishambulia kompyuta zaidi ya Milioni 60 Duniani (zaidi Marekani), alidukua pia webiste ya Serikali ya Israel.

Alikamatwa na yupo Gerezani Marekani baada ya Mahakama kumuhukumu April 20, 2016 kwenda Jela miaka 15, mwenzake ambaye alikuwa anashirikiana nae Raia wa Urusi Panin(27) amehukumiwa miaka 9.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live