Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hoja kuwaondoa maafisa wa IBEC waliopinga ushindi wa Ruto yatua Bungeni

KENYA BUNGEEE Hoja kuwaondoa maafisa wa IBEC waliopinga ushindi wa Ruto yatua Bungeni

Wed, 16 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali.

Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na Makamishna Francis Wanderi, Justus Nyang’aya na Irene Masit walipinga matokeo yaliyotangazwa na Mwenyekiti Wafula Chebukati.

Maafisa hao watajua hatma yao ndani ya siku 14 baada ya Kamati ya Bunge kuwasilisha ripoti ambayo Bunge litamtaka Rais Ruto kuunda Tume ya Majaji itakayochunguza kama wanapaswa kubaki au kuondolewa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live