Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hofu ya Covid19 Zuma aomba Mahakama ibatilishe kifungo

34d142583f864dc3b6bf1f761519f6cd 660x400.jpeg Hofu ya Covid19 Zuma aomba Mahakama ibatilishe kifungo

Sat, 3 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Aliyewahi kuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameomba Mahakama kubatilisha Hukumu yake ya kufungwa miezi 15 akisema inaweza kumuua endapo atapata COVID19 gerezani.

Amesema yeye ni Mzee wa miaka 79 na hali yake kiafya ni miongoni mwa sababu hatakiwi kwenda jela kwakuwa itamuweka kwenye hatari kubwa.

Julai 1, 2021, Mahakama ya Kikatiba ilimhukumu Zuma kwenda jela kwa miezi 15 na alipewa siku 5 kujisalimisha Polisi.

YANGA WAMEINGIA NA KUKU UWANJANI, SHABIKI AFUNGUKA “DAMU YA NJANO, SIMBA ANAFUNGWA’

Chanzo: millardayo.com