Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hitilafu yasababisha Kenya kukosa umeme

 123817502 Gettyimages 1129639539 Hitilafu yasababisha Kenya kukosa umeme

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo limesababishwa na hitilafu za Kiufundi

Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo limesababishwa na hitilafu za Kiufundi Kenya Power imeeleza kuwa hitilafu hiyo imetokea katika Mfumo wa Gridi ya Taifa, Saa 11:40 Jioni ya leo Mei 2, 2024, hivyo kusababisha kukatika kwa umeme.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live