Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki ndicho chuo kikuu cha kwanza Duniani, kipo Afika

Sankore University Hiki ndicho chuo kikuu cha kwanza Duniani, kipo Afika

Thu, 26 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chuo Kikuu cha Sankore kilichopo Timbuktu, mji mkuu wa Mali, Bamako ndicho chuo kikuu cha kwanza na cha zamani zaidi barani Afrika na duniani kinachoaminika kujengwa na watu wa kabila la Mandinka la Afrika Magharibi katika karne ya 12.

Chuo Kikuu cha Sankore kilichopo Timbuktu, mji mkuu wa Mali, Bamako ndicho chuo kikuu cha kwanza na cha zamani zaidi barani Afrika na duniani kinachoaminika kujengwa na watu wa kabila la Mandinka la Afrika Magharibi katika karne ya 12. Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamadauni (UNESCO) lilitoa wito kwa wakazi wa eneo hilo kulinda urithi huo wa zamani wa Mali kwa ajili ya vizazi vijavyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live