Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

'Hii ni siku kuu kwa demokrasia yetu', Ramaphosa apiga kura huko Soweto

'Hii Ni Siku Kuu Kwa Demokrasia Yetu', Ramaphosa Apiga Kura Huko Soweto, 'Hii ni siku kuu kwa demokrasia yetu', Ramaphosa apiga kura huko Soweto

Wed, 29 May 2024 Chanzo: Bbc

Rais Cyril Ramaphosa amepiga kura yake katika kituo cha Chiawelo huko Soweto, akiandamana na mkewe Tshepo Motsepe.

Anasema ana imani kuwa IEC itasimamia uchaguzi vizuri kwa sababu wao ni wa kiwango cha kimataifa na wamejipanga vyema.

"Hii ni siku kuu kwa demokrasia nchini Afrika Kusini. Leo tunapigia kura utulivu na upanuzi wa demokrasia yetu," aliongeza.

Ana matumaini ya kupata mamlaka mapya ya kuendelea kuongoza nchi.

Chanzo: Bbc