Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Helkopta ya KDF yapata ajali watano wafariki

Kdf Helkopta.png Helkopta ya KDF yapata ajali watano wafariki

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu watano wamefariki dunia baada ya helikopta ya Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kuanguka na kuwaka moto katika eneo la Sindar magharibi mwa Pokot.

Watu watano wamefariki dunia baada ya helikopta ya Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kuanguka na kuwaka moto katika eneo la Sindar magharibi mwa Pokot. Taarifa zaidi zinasema watu wengine watatu wamenusurika katika ajali hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live