Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Rais Aifungulia Twitter Nigeria

Buhari Twitter 1 Rais Aifungulia Twitter Nigeria

Thu, 13 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amekubali kuruhusu mtandao wa Twitter kuendelea kutumiwa Nigeria baada ya kuzimwa kwa miezi saba tangu June 04,2021 baada ya Twitter kufuta post ya Rais Buhari kwenye mtandao wake kwa madai ya kukiuka kanuni zake.

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amekubali kuruhusu mtandao wa Twitter kuendelea kutumiwa Nigeria baada ya kuzimwa kwa miezi saba tangu June 04,2021 baada ya Twitter kufuta post ya Rais Buhari kwenye mtandao wake kwa madai ya kukiuka kanuni zake. Twitter itarudi hewani leo usiku January 13,2022 ambapo Serikali ya Nigeria imesema Twitter imekubali kuheshimu sheria, historia na tamaduni za Nigeria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live