Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hakuna nchi ngumu kuiongoza kama Burundi - Rais Ndayishimiye

Evariste Ndayishimiye Fg Rais Ndayishimiye

Fri, 23 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Burundi Meja Jenerali Evariste Ndayishimiye amesema hakuna nchi ngumu kuongoza kama Burundi akisema kuwa ni bora kuwaongoza Wayahudi wakati wa Yesu.

Rais wa Burundi Meja Jenerali Evariste Ndayishimiye amesema hakuna nchi ngumu kuongoza kama Burundi akisema kuwa ni bora kuwaongoza Wayahudi wakati wa Yesu. Kiongozi huyo wa Burundi ameahidi kuwachukulia hatua wale wote ambao wamekuwa wakihusika katika kudidimiza na kuhujumu Uchumi wa nchi hiyo kwa njia yoyote ile.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live