Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hakuna 'Lockdown'tena Uganda

Uganda Flaghhhh Hakuna 'Lockdown'tena Uganda

Sun, 12 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Afya wa Uganda, Jane Ruth amesema Nchi hiyo haitowafungia tena Watu ndani (lockdown) kisa Corona kwasababu lockdown imesababisha Watu kuteseka na uchumi wa Uganda kutikisika.

Ameongeza kusisitiza kuwa ni lazima January mwakani Shule zifunguliwe na shughuli zote zilizofungwa ziendelee kama kawaida.

"Hatutaki lockdown tena Uganda, kuwe na Omicron au kusiwe na hicho kirusi kipya lazima Nchi tuifungue January,2022"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live