Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Google yatoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi 2020 Kenya

1 VAZjwlFLs12 08iYWaPSFw 660x400.jpeg Google yatoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi 2020 Kenya

Mon, 14 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Kampuni ya Google imetoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi katika nchi mbalimbali duniani mwaka 2020 ikiwemo Kenya.

Orodha hiyo sio tu imeonesha mwelekeo unaopendelewa zaidi katika miezi 12 iliyopita, bali pia imeweka bayana matukio makubwa zaidi katika habari, siasa, michezo, burudani na mwelekezo wa mtindo. Ifuatayo ni orodha ya maneno kumi yaliyotafutwa zaidi nchini Kenya mwaka 2020: 1. English Premier League 2. US elections 3. Thank you coronavirus helpers 4. Coronavirus in Kenya 5. Schools reopening in Kenya 6. Tanzania coronavirus 7. Boris Johnson 8. Coronavirus in Italy 9. Waiguru impeachment 10. London marathon

“SITAKI UJINGA, WAHUNI MTAJUA SITAKI UANAHARAMU” SIRRO AWA MBOGO

Chanzo: millardayo.com