Mon, 28 Nov 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Gharama ya chakula nchini Zimbabwe inatajwa kuongezeka kwa asilimia 321 katika kipindi cha mwaka mmoja kwa mujibu wa tathmini ya Benki ya Dunia (WB).
Gharama ya chakula nchini Zimbabwe inatajwa kuongezeka kwa asilimia 321 katika kipindi cha mwaka mmoja kwa mujibu wa tathmini ya Benki ya Dunia (WB). Katika tathmini hiyo, nchi zingine ambazo zimeonesha kuwa na mfumko wa bei za vyakula ni pamoja na Lebanon (208%), Venezuela (158%), Turkiye (99%), Argentina (87%), Sri Lanka (86%), Iran (84%), Rwanda (41%), Suriname (40%) na Lao PDR (39%).
Chanzo: www.tanzaniaweb.live