Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gavana wa Benki Kuu aliyejiuzulu kwa rushwa aswekwa rumande

Godwin Emefiele CBN Governor.jpeg Gavana wa Benki Kuu aliyejiuzulu kwa rushwa aswekwa rumande

Mon, 20 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa iliyotolewa na Serikali imesema Bosi huyo wa zamani, Godwin Emefiele ameshtakiwa kwa makosa ya Ubadhirifu katika Manunuzi wakati aalipkuwa Gavana wa Benki Kuu, hivyo tarativu za Kesi na Dhamana zitasikilizwa Novemba 22, 2023.

Hata hivyo, Mahakama ilimkuta hana hatia kwenye makosa mengine 6 kati ay 20 anayotuhumiwa nayo yakiwemo ya Kujipatia Faida katika Fedha za Umma kwa Njia ya Rushwa ambapo kesi kuu itaanza Novemba 28, 2023.

Siku chache baada ya Rais mpya wa Nigeria kuingia Madarakani, alimuondoa kazini Emefiele na kuagiza uchunguzi wa masuala ya Rushwa ufanyike dhidi yake. Agosti 2023 aliamua kujiuzulu akiwa kizuizini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live