Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Familia za Watoto 70 waliofariki kwa dawa za Kikohozi zakataa fidia

DAWA KIKOHOZI Familia za Watoto 70 waliofariki kwa dawa za Kikohozi zakataa fidia

Tue, 8 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Familia za Watoto 70 nchini Gambia waliofariki kutokana na Majeraha ya Figo yaliyohusishwa na dawa za kutibu kikohozi zilizotengenezwa nchini India, zimekataa fidia ya Dola za Marekani 20,000 sawa na zaidi ya Tsh. Milioni 46 kutoka kwa Serikali ya nchi hiyo

Familia hizo zimesema kukubali fedha hizo kunatafsirika kuwa hawapiganii Haki hivyo zinataka Shirika la Serikali la Kudhibiti Dawa kuondoa madai yake ya awali, kwamba watoto hao walifariki kwenye Maji ya Mafuriko na si kutokana na Dawa Hatari

Pia wanataka Shirika hilo kuondolewa katika Uchunguzi wa Sakata hilo, ulioagizwa na Rais

Chanzo: www.tanzaniaweb.live