Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fahamu Miji 10 Afrika yenye maisha ghali zaidi ya kuishi

Addis Ababa Abidjan: Mji Mkuu wa Ivory Coast

Wed, 8 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Je! Umewahi kujiuliza itakugharimu shilingi ngapi kuishi katika mji tofauti na ambao unaishi sasa katika nchi yako?

Makala hii inaangazia miji 10 barani Afrika yenye gharama kubwa zaidi ya kuishi ambapo inalinganisha gharama za mahitaji ya msingi kama vile chakula, mavazi, burudani, afya, usafiri na elimu katika nchi mbalimbali za Afrika.

Takwimu kutoka ripoti ya Statista zimetumika kuipata miji 10 Afrika yenye gharama kubwa sana ya kuishi. Ifahamike kwamba ukotoaji wa gharama za kuishi haujahusisha gharama za kodi za kupanga.

Addis Ababa: Mji Mkuu wa Ethiopian

Abidjan: Mji Mkuu wa Ivory Coast

Harare: Mji Mkuu wa Zimbabwe

Johannesburg: Mji wa kibiashara wa Afrika Kusini

Pretoria: Moja ya Miji Mikuu mitatu ya Afrika Kusini

Gaborone: Mji Mkuu wa Botswana

Cape Town: Mji kutoka Afrika Kusini

Accra: Mji Mkuu wa Ghana

Marrakech: Mji wa kitalii kutoka Morocco

Windhoek: Mji Mkuu wa Namibia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live