Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ethiopia imetangaza kuunda mitandao yake ya kijamii

Social Media1 Ethiopia kuja na mitandao yao ya kijamii

Thu, 26 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nchini Ethiopia wameanza kutengenza mitandao yao yakijami itakayofanana na Facebook, Twitter pamoja na WhatsApp

Mkurugenzi Mtendaji wa Information network security INSA, Shumete Gizaw, amesema serilaki inataka mitandao yao kakijamii iweze kuchukua nafasi ya faebook,Twitter,Whatsap na Zoom.

Shumete ameishutumu facebook kwa kufata post na acccount za majina zanazo sambaza ukweli kuhusu Ethiopia.

hata hivyo, shirika la haki za binadamu limeishanga serikali ya Ethiopia kwa kufungia mitandao yakijamii ikiwemo facebook,Whatsap kwa miaka iliyopita, na serikali haikuongea chochote kuhusu kitendo hicho.

Msemaji wa Facebook bara la Africa, Kezia Anim-Addo, hakutaka kuzungumzia chochote kuhusu tuhuma wanazo shutumiwa na Shumete.

kulingana na takwimu inaonesha kuwa Ethiopia ni nchi yenye watu takribani million 115,na inawatumiai wa mtandao wa facebook million 6.

siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa Ethiopia, facebook walisema wametoa account za watu feki, Twitter walikuwa hawaruhusu maoni na Zoom hakuwa wanajibu maoni.

Shumetee amekata kuweka wazi ,gharama watakazotumia kutengeneza mitandao yao yakiteknolojia ila amesema nchini kwao kuna vinara wazuri watakao weza kutengeneza mitandao hiyo na hawato tumia watu kutoka njee ya Ethiopia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live