Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ethiopia Kufunga Ubalozi wake nchini Algeria

Ethiopia Abiy Ahmed, Waziri Mkuu Ethiopia

Thu, 2 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali nchini Ethiopia, imetangaza kufunga Ubalozi wake ulipo nchini Algeria, ikiwa ni mkakati wa kupunguza matumizi ya fedha.

Hata hivyo hatua hiyo imefikiwa kwa mara ya kwanza na taifa hilo ikiwa ni kwa nia ya kuunguza gharama, ambapo mwezi julai mwaka huu 2021 nchi hiyo ili afikia kufunga Balozi zake katika nchi kadhaa kwa ajili ya kuounguza gharama za kiutendaji na uendeshaji

Nchi hizo mbili ziliwahi kuwa katika sintofahamu ya muda mrefu hadi pale waliposaini Mkataba wa maelewano Disemba 12, mwaka 2000 iliyositisha vita baina yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live