Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Elias Mpedi Katibu Mkuu mpya SADC aliyechukua nafasi ya Mtanzania

MAGOSI 696x464 Elias Mpedi Mgosi, Katibu Mtendaji SADC

Wed, 18 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Elias Mpedi Magosi, Kutoka Botswana amechaguliwa kuwa Katibu Mtendaji Mpya wa SADC akichukua nafasi hiyo kutoka kwa Mtanzania Dkt. Stergomena Lawrence Tax.

Mpaka anachaguliwa kushika wadhifa huo Magosi pia ni Mkuu wa Utumishi wa Umma na Katibu wa Baraza la Mawaziri wa Botswana

Magosi sio mgeni ndani ya SADC, amewahi kuhudumu nafasi ya Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Sekretarieti ya SADC, Machi 2017 hadi April 2018.

Kiapo cha Magosi kinamaliza utawala wa miaka 8 Dkt. Stergomena Tax ambaye amemaliza muda wake wa kuiongoza SADC kwa vipindi viwili

Chanzo: www.tanzaniaweb.live