Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ebola Yadhibitiwa DRC

Ebola Case23 Ebola Yadhibitiwa DRC

Fri, 17 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maafisa wa afya wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wametangaza kudhibitiwa kwa wimbi la kumi na tatu la ugonjwa wa Ebola, ambapo watu 11 waliugua huku sita wakifariki dunia.

Maambukizi hayo yalitokea mwezi Oktoba mwaka huu katika eneo la Beni, kwenye jimbo la North Kivu Mashariki mwa Jamhuri hiyo.

Wimbi hilo lilizua hofu na taharuki kwa wananchi wa DRC, kwa mara ya kwanza ugonjwa huo uliingia DRC mwaka 2018 na 2021 kusababisha vifo vya takribani watu 2,300.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live