Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

ECOWAS yatilia mashaka uchaguzi nchini Mali

Ecowas ECOWAS yatilia mashaka Uchaguzi nchini Mali

Tue, 7 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jumuiya ya kiuchumi wa nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, imetilia mashaka mwenendo wa uchaguzi mkuu nchini Mali kufuatia kupelekwa mbele kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika mwaka jana 2021.

Katika taarifa iliyotolewa na Jumuiya hiyo, imesema kuwa mwenendo wa uchaguzi nchini humo hautoi matumaini kwani hadi sasa hakuna maandalizi thabiti ya kupiga kura.

Hata hivyo tarifa hii imetolewa mara baada ya Rais msataafu wa Nigeria Goodluck Jonathan, kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini humo.

Mapema mwezi Julai, Serikali ya mpito ilitangaza kufanya chaguzi huo ikiwa ni hatua ya kurejesha Serikali huru yenye demokrasia na usawa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live