Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diwani mstaafu apigwa risasi na Polisi kwa kutovaa barakoa

Shoot Bastola

Wed, 29 Sep 2021 Chanzo: Jamii Forums

Diwani Mstaafu wa Wadi ya Kiptoror, Barnaba Lagat anadaiwa kuwa na hali mbaya Kiafya katika Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Moi iliyopo Eldoret baada ya Afisa wa Polisi kumpiga risasi kifuani.

Diwani huyo aliachwa akivuja Damu nyingi baada ya kupigwa risasi kwa kutovaa Barakoa majira ya jioni akiwa Kituo cha Biashara cha Kapsigilai.

Daniel Chebet ambaye alishuhudia kisa hicho ameiambia K24 Digital kwamba Afisa aliyempiga risasi Lagat alikuwa amelewa na inadaiwa alitumia nguvu nyingi kutekeleza Maagizo ya Wizara ya Afya katika kuzuia .

Chanzo: Jamii Forums