Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Daktari adaiwa kumuua mama na kuiba mtoto

DAKTARI MON Daktari adaiwa kumuua mama na kuiba mtoto

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Daktari kutoka nchini Nigeria aitwaye Dk Hagi anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aliyekuwa mjamzito baada ya kumfanyia upasuaji na kisha kuchukua mtoto wake na kwenda kumuuza.

Inadaiwa daktari huyo alimfanyia upasuaji wa kumzalisha mama huyo mweye umri wa miaka 20 na baadaye kumuua kwa kukusudia.

Aidha, baada ya kutekeleza mauaji hayo inadaiwa kuwa alimwambia ‘nesi’ aifahamishe familia ya marehemu kuwa ndugu yao amefariki kwa ajali ya gari.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live