Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DRC: Rais Tshisekedi azindua kumbukumbu ya mauaji ya kimbari

DRC: Rais Tshisekedi Azindua Kumbukumbu Ya Mauaji Ya Kimbari DRC: Rais Tshisekedi azindua kumbukumbu ya mauaji ya kimbari

Fri, 4 Aug 2023 Chanzo: Bbc

Rais Felix Tshisekedi ameanzisha kumbukumbu ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa dhidi ya watu katika katika Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo,

Katika tukio hilo lililofanyaika jana katika mji mkuu Kinshasa, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, RDC, alitaka kukumbuka utu wa watu wote wa Congo ambao waliuawa bila sababu faida binafsi za watu binafsi kwasababu ya utajiri, kama ilivyoripotiwa na Radio ya Umoja wa Mataifa - Okapi.

Ofisi ya Rais iliwataka wote kusimama kidete kupambana dhidi ya nchi za kigeni zilizoishambulia DRC.

Rais Tshisekedi alizungumza alisema: "Ni kwa uchungu na huzuni, lakini pia kwa hamu na subira, kwa sababu ya tishio la kuwepo kwetu, kwamba ninazungumza; na kwa sababu ya kile ninachopaswa kufanya na kile ninachowajibika, kama mwakilishi wa nchi, katika kuanzisha amani kukumbuka Mauaji ya Kimbari nchini Kongo (GENOCOS), kuwakumbuka mamilioni ya watu waliouawa katika zaidi ya miaka 20 ya vitendo vya kikatili."

Chanzo: Bbc