Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Corona kuizuia Kaizer Chiefs kuingia Morocco

DAF46905 E98C 4681 972E 24574033C133 660x400.jpeg Corona kuizuia Kaizer Chiefs kuingia Morocco

Thu, 11 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Wydad Casablanca dhidi ya Kaizer Chiefs haiwezi kuchezwa nchini Morocco kwa sababu mamlaka za nchi hiyo kuzuia.

Mamlaka nchini Morocco zimezuia kutoa Visa kwa timu ya Kaizer Chiefs kutokana na sheria mpya za Corona zilizowekwa nchini humo kutoruhusu raia wa Afrika Kusini kuingia nchini kwao sababu ya kuwa na idadi kubwa ya Maambukizi.

Shirikisho la soka nchini Morocco limeiomba CAF iahirishe mchezo huo au iupange uchezwe katika nchi nyingine.

Chanzo: millardayo.com