Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Congo yaripoti kisa kipya cha Ebola

Ebola Case23 Congo yaripoti kisa kipya cha Ebola

Sat, 9 Oct 2021 Chanzo: Reuters

Waziri wa Afya nchini Congo, Jean Jacques Mbungani amethibitisha kisa kimoja cha Ebola Mashariki mwa Taifa hilo, ikiwa ni miezi 5 baada ya mlipuko wa hivi karibuni kuisha.

Bado haijafahamika ikiwa kisa hicho kinahusiana na mlipuko wa 2018 - 2020 ambao ulipelekea vifo vya watu zaidi ya 2,200.

Aidha, Mtoto wa miaka 3 ambaye amefariki dunia alibainika kuwa na Ugonjwa huo huku watu wapatao 100 wamewekwa katika uangalizi kuona kama wataonesha dalili zozote

Chanzo: Reuters