Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Congo kupatiwa chanjo ya Mpox

Vaccine Mpox.jpeg Congo kupatiwa chanjo ya Mpox

Mon, 2 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kituo cha kudhibiti na kuzuia Magonjwa CDC Kanda ya Afrika kimeanza kupeleka chanjo ya kwanza ya Mpox nchini DRC Congo.

Hivi sasa madaktari wameshaanza kujiandaa kutoa chanjo hiyo ili kuweza kukabiliana na mlipuko huo nchini humo.

Takriban wagonjwa 18,000 wamethibitika kuwa na virusi vya Mpox nchini DRC Congo huku wengine zaidi ya 100 wakipoteza maisha.

Wakati huohuo Kenya imeendelea kuimarisha mipaka yake kwa wasafiri wanaoingia nchini humo baada ya kuthinitika kuwa na wagonjwa wanne wa Mpox.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live