Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama cha UDPS chaongoza kwa viti vya ubunge Congo

Mahakama Ya DR Congo Imethibitisha Ushindi Wa Tshisekedi Chama cha UDPS chaongoza kwa viti vya ubunge Congo

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chama cha UDPS cha Rais wa Congo, Felix Tshisekedi, kimefanikiwa kuchukua viti 66 kati ya 500, vya Bunge la nchi hiyo, katika Uchaguzi uliofanyika Desemba 2023, ikiwa ni sawa na 12% ya viti vyote kwenye Bunge la nchi hiyo.

Chama cha UDPS cha Rais wa Congo, Felix Tshisekedi, kimefanikiwa kuchukua viti 66 kati ya 500, vya Bunge la nchi hiyo, katika Uchaguzi uliofanyika Desemba 2023, ikiwa ni sawa na 12% ya viti vyote kwenye Bunge la nchi hiyo. Idadi hiyo inakifanya Chama cha UDPS, kuwa na viti vingi zaidi kwenye Bunge hilo, huku vyama vinavyoongozwa na baadhi ya washirika wa Tshisekedi akiwemo Spika wa Seneti Modeste Bahati Lukwebo, Waziri wa Ulinzi Jean Pierre Bemba na Waziri wa Uchumi Vital Kamerhe vikifanikiwa kushinda zaidi ya viti 80.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live