Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

COVID-19 yasababisha kupotea taarifa sahihi za vizazi na vifo Afrika

Populationy COVID-19 yasababisha kupotea taarifa sahihi za vizazi na vifo Afrika

Wed, 25 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamlaka ya Vizazi na Vifo ndani ya nchi 47 za Afrika zimepoteza takwimu maalum kufutia janga la Ugonjwa la corona, pengine itachukua miaka kadhaa serikali za nchi hizo kupata takwimu za uhakika.

Kufuatia utafiti wa shirika la umoja wa mataifa,Economic commision for Africa ECA hakuna idadi wala takwimu ilioandikwa kwenye system kwa kipindi hichi cha janga la dunia.

Mkurugenzi wa Africa Center for statistics ECA, Oliver Chinganya, amesema kufuatia ugonjwa wa UVIKO-19 takimu za vizazi na vifo zimeshuka sana ni ngumu kufahamu wingi wa watu. hata hivyo national lockdown zimeonekana kuwa ni kikwazo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live