Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CHAD: Serikali yatangaza Marufuku ya Kutotoka Nje Usiku

Maandamano Chad.jpeg CHAD: Serikali yatangaza Marufuku ya Kutotoka Nje Usiku

Sun, 23 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hii ni baada ya mapigano makali kati ya Polisi na Waandamanaji wanaopinga Utawala wa Kijeshi Nchini humo yaliyosababisha vifo vya takriban watu 50

Mamia ya Waandamanaji walijitokeza katika Mji Mkuu wa N'Djamena na kwingineko kuadhimisha tarehe ambayo awali Wanajeshi walikuwa wameahidi kurejesha Utawala wa Kidemokrasia, muda ambao umeongezwa kwa Miaka miwili zaidi

Amri hiyo ya kutotoka nje kati ya saa 12 jioni hadi 12 asubuhi itasalia hadi Utulivu utapokerejea katika maeneo yenye vurugu

Chanzo: www.tanzaniaweb.live